Kusanya maoni ya wateja kupitia linki au QR code, fuatilia uridhikaji, tambua maeneo yanayohitaji maboresho.
Pata tovuti yako mwenyewe: tumamaoni.com/biashara-yako. Wateja wanaweza kuacha maoni kwa urahisi.
Toa misimbo ya QR ili wateja wascan na kuacha maoni haraka. Pakua PDF tayari kuchapisha.
Pata ripoti na michoro ya maoni ya wateja. Chunguza mwelekeo wa uridhishaji na maboresho.
Pata maoni ya wateja kuhusu bidhaa na huduma zako mara moja.
Wateja wanaweza kutathmini chakula na huduma kupitia QR code mezani.
Fuatilia kuridhika kwa wageni na uboresha ubora wa huduma zako.
Wagonjwa wanaweza kutoa maoni kwa njia salama na ya siri.
Jiunge na mamia ya biashara nchini Tanzania zinazotumia TumaMaoni.
Jisajili Sasa Bila MalipoTumaMaoni ilianzishwa kwa dhamira moja: kufanya mchakato wa kupokea maoni ya wateja kuwa rahisi, wa uhakika na wa ufanisi kwa kila biashara nchini Tanzania. Tumebuni mfumo rahisi unaowezesha biashara yako kusikiliza sauti ya wateja wake.
Jiunge na jukwaa letu